Habr zenu
Leo kuna mshkaji alichukua phone yangu alichokfanya ni ku erase internal memor,matokeo yake amefuta program zangu zote....kubwa kabisa ni play store! nimejaribu kuitafta kupitia web browser imekja but imekataa kudownload.Naomba kama kuna mtu anaweza kunihelp afanye hvyo phone model ni huawei u8185.
au kama kunalink ya kuidownload anipe!
Nawasilisha!