Safi sana mkuu. Asikatishe tamaa watu huyu jamaa...mi namjua vizuri ata uku COASCO ameomba Kazi tunamsubili aje atuonyeshe competence licha yakua jina lake ndio la mwisho kabisa. Ila akifanya poa atapata Kazi vilevile
Ndio maana tunakuitaji we we mwenye competence uje uokoe jahazi kiongozi...sasa kama utendaji wetu maofisini ni mbovu vipi kama tukiajili tena vilaza ali si ndio itakua mbaya zaidi..?
Safi sana mkuu.
Asikatishe tamaa watu huyu jamaa...mi namjua vizuri ata uku COASCO
ameomba Kazi tunamsubili aje atuonyeshe competence licha yakua jina lake
ndio la mwisho kabisa. Ila akifanya poa atapata Kazi vilevile