Napenda kujiunga na watu wote katika siku hii ya wanawake, pamoja na kuwapa hongera akina mama wote. Kubwa kwa leo napenda kuwapa pongezi Ma HOUSE GIRL wote popote walipo, kazizao naziheshimu saana. Nilipokuwa ndogo, Nakumbuka mama yangu alifuata msichana wa kazi kijijini akamleta na kumtambulisha kwetu kama mama yetu mdogo,( yaani mdogo wake). Huyo ndio aliye tupikia,tufulia,tuogesha, na kutufundisha kuoga, kufua, kuvaa nguo, na mambo mengine mengi . alinipeleka shule na kunifuata mchana, alinisaidia kuvuka barabara, kunibeba, alinifundisha ukakamavu pale wazazi wangu walipokuwa hawapo kwani sikuweza kudeka mbele yake ilifika mahali wazazi niliweza wagomea(kudeka) ila yeye namtii kwani alijua aniambie nini ili nisisumbue Hakika hawa akina dada kama tunavyowaita siku hizi wanastahili pongezi. Naomba mnifikishie salamu zangu kwao huko majumbani mwenu, Hebu tuwafagilie kidogo hawa wandugu kwa leo... nawasilisha
Namjali sana Hg wangu kwa mfano sasa hivi wife hayupo ananisaidia sana.
:A S 13:.Angalia tu asije akafanya mpaka zile huduma za mke wako kwako....:rain:
Keren utani mwingine siyo mzuri. Teh teh
wanafanya yote hayo na bado wanalazwa jikoni kama paka:rain:
Namjali sana Hg wangu kwa mfano sasa hivi wife hayupo ananisaidia sana.
Namjali sana Hg wangu kwa mfano sasa hivi wife hayupo ananisaidia sana.
Kweli Elia...you are very considerate...hawa ndo wanaolea watoto na familia zetu....wanawake wengi sasa tumebaki status tu,majukumu mengi yanafanywa na ma housegals.....Big Up Yourself!!
Keren tukisema ukweli vijana wengi wanaokulia mijini mwanamke wa kwanza kujamiiana nao ni mahasigeli wa nyumbani kwao na mimi nikiwa mmoja wapo,wana kazi nyingi sana hawa viumbe.:A S 13:.Angalia tu asije akafanya mpaka zile huduma za mke wako kwako....:rain:
Keren tukisema ukweli vijana wengi wanaokulia mijini mwanamke wa kwanza kujamiiana nao ni mahasigeli wa nyumbani kwao na mimi nikiwa mmoja wapo,wana kazi nyingi sana hawa viumbe.