Ma ex mnakuwaga na shida gani?

ms emmaa

Senior Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
119
Reaction score
207
Jamani hivi umeachana na mtu wako, unajaribu ku move on yeye Bado anakukwamisha.

Yaani hata ukimpata mtu mwingine anakuharibia yeye ashampata Mtu wake na wanaishi maisha yao lakini hatak akuone ukipata mtu mwngn hv mtu kama Huyu unamfanyj [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Tayari kwanza fungua code nini kimekusibu ili tukumwagie maji ya upako
 
Km una Mali yke yyte ya kuhamishika uliyobaki nayo fanya umrudishie, utanishukuru baada ya hpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…