Ma dk Mungu anawaoana kwa kweli mnajua kutunyooshaa...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Jan mwanzon
Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani
Toka Sept

Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo

Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala

Sijawahi nitokea hivi nkakimbilia tmj

Kufika.nkamweleza dk.we akauliza.maswaoili kadhaa. Mwisho nkaona anaandika dawa akanishauri.pia.nipumzike.niache pombe kwa.mda nk

Nkamwelewe akasisitiza ukimaliza hizo.dose unakuwa.sawa kabisa

Nikarudi hme.nkajipumzisha.kama siku ksdhaa bila kazi yoyote nikawa close na Bible ♥️ ❤️ 👌

Baada ya wiki dose haijaisha majeshi yakarudi tena mpaka sasa hivii

Sasaa na.mwenzangu. majuzi hali ikamtokea huko.kwake nkamwambia kuna dawa nilipewa nzuri ilinsaidia hatq kabla sijaimaliza

Nkampatia akanunue......amechukua kaenda pharmacy anapiga ananiambia nimekuwa.mhun nkamwambia why akasema mbona mdada anasema hiizi.n panadol

Ukweli.nilibaki.kuxhekaa sikujua nimepewa.panadol na ule uushauri

Nikamwambia hio ndio.nimekunywaa

...ma dk ahsanten sana na....anawaona.kwa kweli awaongoze.kuwasaidia watu kisaikolojia.pengine. ninngeambiwa panadol nisingeamini na labda ingechukua.mda.kuwa.sawa
 
Mimi ndie nilie kuhudumia 😁
 
Ushazeeka kwisha habari
yako pdenga alafu wazee mpotee
 
Chukua CODE hii.

Ukipewa dawa yoyote . Google jina la dawa na kazi gani inaenda kufanya mwilini.
Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
 
Hujanielewa.
Sijasema utumie AI kujua dawa gan utumie.

Nenda hosp . Ila ukishatibiwa ni vyema kujua dawa inaenda kufanya nn mwilini.
Ndio maana hata wao wanaweka vikaratas nyuma ya kila dawa vya maelezo.

Angesoma angejua ni panadol.
 
Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
Kwani AL inafanya nini kama sio kuchukua hizo data wanazotumia madaktari,au unafikir al wanatunga mambo wenyewe
 
Una uandishi
Jan mwanzon
Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani
Toka Sept

Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo

Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala

Sijawahi nitokea hivi nkakimbilia tmj

Kufika.nkamweleza dk.we akauliza.maswaoili kadhaa. Mwisho nkaona anaandika dawa akanishauri.pia.nipumzike.niache pombe kwa.mda nk

Nkamwelewe akasisitiza ukimaliza hizo.dose unakuwa.sawa kabisa

Nikarudi hme.nkajipumzisha.kama siku ksdhaa bila kazi yoyote nikawa close na Bible ♥️ ❤️ 👌

Baada ya wiki dose haijaisha majeshi yakarudi tena mpaka sasa hivii

Sasaa na.mwenzangu. majuzi hali ikamtokea huko.kwake nkamwambia kuna dawa nilipewa nzuri ilinsaidia hatq kabla sijaimaliza

Nkampatia akanunue......amechukua kaenda pharmacy anapiga ananiambia nimekuwa.mhun nkamwambia why akasema mbona mdada anasema hiizi.n panadol

Ukweli.nilibaki.kuxhekaa sikujua nimepewa.panadol na ule uushauri

Nikamwambia hio ndio.nimekunywaa

...ma dk ahsanten sana na....anawaona.kwa kweli awaongoze.kuwasaidia watu kisaikolojia.pengine. ninngeambiwa panadol nisingeamini na labda ingechukua.mda.kuwa.sawa
Wa kijinga sana khaaa 😬😬😬😬
 
Haisadii, kuna dawa ukipewa side effect yake ndo tiba yako ,sasa jidanganye na visimu vyenu, Al ipo ila bado sio mbadala wa Dr's, hao viumbe wako darasani kwa miaka 5, 9,12 alafu ujidanhanye na kisimu chako
Imani kubwa tuliyojengewa kwa Dr ni nzuri ila pia wakati mwengine inatuponza, hatupingi umuhimu wao na jitihada zao ila pia lazima tutambue kuwa ma Dr asili kubwa ni watu waliyokariri sana walichofundishwa na kuna ma Dr ambao wametoka nje ya box kwa yale ambayo wamekaririshwa au yanayo karirishwa huko darasani.
 
ibda imernda vyema
Narudi NA SOMA COMMENTS ZENU nacheka sina mbavu
cc
 AI
 
Back
Top Bottom