Ni dhahiri sasa hali si shwari kabisa kwa maRC na maDC walio wengi. mtanziko uliyompata mkuu wa wilaya ya Uyui unawakumba wengi.
Duru zinaeleza kwamba wengi wao wanaendelea kukalia viti vyao kishingo upande. kuna maagizo mengi ya kutoka juu hayatekelezeki.
Kuna vitisho vingi sana vimetolewa kwa wakuu wa wilaya na mikoa, kwamba yule ambaye eneo lake litakuwa na mojawapo ya yafuatayo aache kazi:-
> Kipindupindu
> Njaa
> Kuwabughudhi machinga n.k,
Kipindupindu: Halmashauri nyingi ni maskini sana hazina vyanzo vya mapato kuwezesha kununua magari ya kubeba taka. na bahati mbaya sana jpm amepoka sehemu kubwa ya vyanzo vya halmashauri na kupeleka serikali kuu. kipindupindu kitaisha?
Kuhusu machinga: Wakuu wengi wa mikoa na wilaya walianza kupanga miji yao kwa kuwaondoa wamachinga na kuwatengea maeneo. mara akaibuka jpm na tamko tata la kuwapa madaraka machinga. jamaa wakabaki midomo wazi.
Njaa: Maeneo mengi ni kame halafu marufuku kutamka njaa. duuh!
hali hii inawafanya viongozi hawa kuwa njia panda