Ma-celeb wanaumia wanapoachwa?

Ma-celeb wanaumia wanapoachwa?

Wakuu,

Hawa watu wanakutana na warembo au wanaume wenye pesa kila sekunde, hivi kuna celebrity ashaumia seriously?

Messi, Ronaldo, Nicki Minaj, Lil Wayne, wanasiasa, Billgate, Dangote, Mengi, Wema Sepetu, hivi hawa wanafeel pain kweli maana mda wote wanatafutwa.

Au sisi wa kawaida ndo tunaumizwa na mapenzi?
Sina cha kuchangia ila nimekumiss hatari.
 
Mapenzi ni involuntary action humuoni breezy alivyokuwa obsessed na karrueche Dada hamtaki mshikaji mpk kesho anamtani yule binti!
 
Ndio kisa cha Usher Raymond kutoa Album ya confession 2003-2004.

Au juma nature Ugali
Yaaah!kweli kabisa Usher alimpenda sana yule Dada Ila alikuja kuona umuhimu wake baada ya Dada kumove on


Nature na Sintah nao!
 
Back
Top Bottom