griffin2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 694
- 837
Hata uzungukwe na wazuri wote kuna mmoja tu utadondokea kwake.... Na kampani yake utaihitaji zaidi ya wengine
Ni kweli bibie Valentina, amuulize poti wangu Tang'ana anakielewa vizuri unachomaanisha.
Hata uzungukwe na wazuri wote kuna mmoja tu utadondokea kwake.... Na kampani yake utaihitaji zaidi ya wengine
Hata ww ni Celeb wa humu JFWakuu,
Hawa watu wanakutana na warembo au wanaume wenye pesa kila sekunde, hivi kuna celebrity ashaumia seriously?
Messi, Ronaldo, Nicki Minaj, Lil Wayne, wanasiasa, Billgate, Dangote, Mengi, Wema Sepetu, hivi hawa wanafeel pain kweli maana mda wote wanatafutwa.
Au sisi wa kawaida ndo tunaumizwa na mapenzi?
Nguzo kuu mbili za mahusiano ni pesa na na kumlidhisha ulie nae kitandani.Awe mwanamke au mwanaume akiridhika kwenye bed na pesa ikawepo basi kila kitu kitakuwa sawa.Nguzo moja wapo kati ya hizo ikiwa legevu basi mmoja wenu ndio atafurahia mahusiano.Duhu# kwa dunia ya kweli mapenzi bila pesa ni ufala hamna mwanake wa xaxa anependa bila pesa angalia axilimia kubwa kwenye ndoa za wenye pesa mwisho wake hua ni mbaya###£
Tena huyu ndio nilikuwa na mapenzi ya dhati kwake, ila sasa alivyo waru waru, nikamfumania mchana kweupeeee, nikajihamishia zangu kwa Manga MLNakumbuka..... Mara akamparamia Mdogo wako...mara akapotea kabisaa. Nakumbuka huyu ulimpenda tuu pamoja ya kuwa hakuwa na pesa enz zile
Umenikumbusha movie inaitwa dhadkan akshay na sunul.....
Wakuu,
Hawa watu wanakutana na warembo au wanaume wenye pesa kila sekunde, hivi kuna celebrity ashaumia seriously?
Messi, Ronaldo, Nicki Minaj, Lil Wayne, wanasiasa, Billgate, Dangote, Mengi, Wema Sepetu, hivi hawa wanafeel pain kweli maana mda wote wanatafutwa.
Au sisi wa kawaida ndo tunaumizwa na mapenzi?
Huyo nilishamuacha kitamboooo, hapo list iliendelea.Ukimuacha huyo uje kwagu atoto
Zamu yangu lini inaanza?Huyo nilishamuacha kitamboooo, hapo list iliendelea.
Hapa nilipo nimefika, labda ya Mungu yatokee.Zamu yangu lini inaanza?
Sawa MkuuHapa nilipo nimefika, labda ya Mungu yatokee.