kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,125 Aug 22, 2015 #1 Hivi jamani huyu jamaa si ni baba wa mtu kabisa yani! Attachments 1440266936051.jpg 44.9 KB · Views: 840
M mkosafedha JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 1,330 Reaction score 277 Aug 22, 2015 #2 Dah kazi kwelikweli huyu mwakalebela inaonekana anachambiaga makaratasi . Hastahili ubunge manake yeye anamawazo ya kunya tuu .
Dah kazi kwelikweli huyu mwakalebela inaonekana anachambiaga makaratasi . Hastahili ubunge manake yeye anamawazo ya kunya tuu .
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,565 Reaction score 6,699 Aug 22, 2015 #3 Ingewekwa picha ya gambaz apo policcm wangetoa tamko!
Msulibasi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,957 Reaction score 8,005 Aug 22, 2015 #4 kamanda wa polisi angalikuja hapa faster ingalikua chama
M Moony JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,599 Reaction score 436 Aug 22, 2015 #5 Du! cheki poziii, mtu mzima huyo ati... mhh kazi ipo
M multmandalin JF-Expert Member Joined Sep 8, 2012 Posts 2,034 Reaction score 583 Aug 22, 2015 #6 kunguni wa ulaya said: Hivi jamani huyu jamaa si ni baba wa mtu kabisa yani! Click to expand... Huyu jamaa anaonekana ni taahira kwa hayo maumbile ya kichwa chake hasa, uchogononi! Ila taahira zaidi ni Mwakalebela kutuletea picha kama hizi! Hiyo sheria ya mtandao haimuhusu?
kunguni wa ulaya said: Hivi jamani huyu jamaa si ni baba wa mtu kabisa yani! Click to expand... Huyu jamaa anaonekana ni taahira kwa hayo maumbile ya kichwa chake hasa, uchogononi! Ila taahira zaidi ni Mwakalebela kutuletea picha kama hizi! Hiyo sheria ya mtandao haimuhusu?
M mamabite Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6 Reaction score 1 Aug 22, 2015 #7 Mbona Bendera za taifa mateja wamefunga kichwani kama tupac na hakuna anayejali!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,240 Aug 22, 2015 #8 Kwa hiyo mwakalebela ameamua kurusha picha yake akiwa faragha akijisaidia?
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Aug 22, 2015 #9 What else should I expect from those people?!
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,292 Aug 22, 2015 #10 Vitu vingine hata aibu kupostiwa na mgombea ubunge. Aibu yake kumbe ni mpuuzi kiasi hichi
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Aug 22, 2015 #11 mamabite said: Mbona Bendera za taifa mateja wamefunga kichwani kama tupac na hakuna anayejali! Click to expand... Unashangaza mamabite, au unamaanisha kichwa gani? maana mfano wako wala hauendani
mamabite said: Mbona Bendera za taifa mateja wamefunga kichwani kama tupac na hakuna anayejali! Click to expand... Unashangaza mamabite, au unamaanisha kichwa gani? maana mfano wako wala hauendani
ndiyomkuusana JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 668 Reaction score 426 Aug 22, 2015 #12 kunguni wa ulaya said: Hivi jamani huyu jamaa si ni baba wa mtu kabisa yani! Click to expand... hivi mwakalebela ndiyo anagombea ubunge , mbona shida kwa picha hii tu aliyopost tayari nimesha mjua ana ubongo wa aina gani
kunguni wa ulaya said: Hivi jamani huyu jamaa si ni baba wa mtu kabisa yani! Click to expand... hivi mwakalebela ndiyo anagombea ubunge , mbona shida kwa picha hii tu aliyopost tayari nimesha mjua ana ubongo wa aina gani
ndiyomkuusana JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 668 Reaction score 426 Aug 22, 2015 #13 lusinde ana akiri zaidi ya mwakalebela
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Aug 23, 2015 #14 chenga tupu hapo