wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..
Mara nyingi wanaanza kama bank teller halafu wanaingia ndani kwenye kazi zingine. Sasa sijui wakiingia ndani wanabadilika tabia au wanabaki na tabia zile zile za teller? Kazi imekuwa tabia
Tabia ni mtu mwenyewe,labda huyu teller yuko katika mazingira hatarishi ya kukutana na watu wenye mawe ya kutosha.Sasa kama mwanaume wake anauza mihogo,wakati binti kazini anawahudumia watu wanaomletea milioni 100 huku akimchekea chekea...inabidi kuhesabu maumivu.
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..
Pole sana,
Mwambie aoe kawaida hawana tabu.
Ila shida yao ni kuwa hawana muda na familia labda weekend, kuondoka asubuhi kurudi usiku ujinadae kuwa mama wa nyumbani.