Ma-architecture wengi wa bongo wanaringa

Wateja wa online maswali meeengi, Kisha "ngoja nijipange, ntakutafuta"
Ukimpa maelezo ya kutosha anayapokea kisha anakwambia aende kujipanga. Baada ya muda anachukua maelezo yako anampa kazi mtu mwingine.

Ndio maana kuna fani consultation tu inabidi ulipie. Kuna watu ukipiga simu ukianza kubwabwaja tu kabla ya yote anakupa akaunti uweke fee asipoteze muda wake bure.
 
Wakati wenzio wanakula kitabu wewe si ulikua unaaangalia pono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…