Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,151
Hamna kazi ya bure na hata hao niliowacheck bei zao najua sio za kitoto kwahiyo hela sio shida. Shida ni jinsi wanavyohudumia clients. Instagram wamejaa wengi ndio lakini wanaoweza kufanya kazi ninayoitaka ndo hao hawapatikani kirahisi. Pia siwezi kuwataja nitaharibu brand zao, ila ni hawa top architects.Wewe unamcheki nani huyo ambaye anaringa kwenye hizo kazi? Ingia Instagram huko utachagua nani afanye kazi yako, au unataka bure?
Mkuu architect anakwambia umtumie requirements baada ya hapo ni kimya, hajibu simu wala sms na ukiangalia ni designs ambazo amefanya kabisa na hela ipo mfuko wa shati.Mfano nenda ARDHI UNIVERSITY uone wanavyopata msoto hao watu. Namaanisha usiwashangae aidha kazi ni nyingi, wateja wengi wa simu huwa mnauliza tu kulinganisha na sio kufanya kazi kwahiyo huwa mnatupotezea mda.
Lakini pia inabidi ukimtafta Architect uende straight usilete mipango yako kwake, toa location na maelezo ya kazi inayoitaka.
Ukiona hivyo ana experience ya wateja wa online kufanya malipo ni wazinguaji sana kwenye kazi kama hizi. Mimi huwa sifanyi kazi online ila akitokea mteja wa online huwa namuelekeza tu atumie AI ni bure na rahisi kukuletea unachokitaka ujue kuiongoza tu.Mkuu architect anakwambia umtumie requirements baada ya hapo ni kimya, hajibu simu wala sms na ukiangalia ni designs ambazo amefanya kabisa na hela ipo mfukoo wa shati.
Ebu nichoree ramani, nina elfu 20 hapa mfukoniKuna mtu hajasomea ila hiyo kazi anaijua vizuri mno basi tu nyie diaspora mnaamini vyeti na muda wote mna wasiwsi wa kuibiwa
Mi sina ujuzi huoEbu nichoree ramani, nina elfu 20 hapa mfukoni
kwa huo ujuzi ulio nao, utanisaidiaje?Mi sina ujuzi huo
Ukiona mtu anakupa ramani na hajatembelea site huyo sio architect. Pia ma-architect wana kazi ngumu sana mimi nilisoma mwaka mmoja nikahamia Civil Engineering ARU. Yaani hawa watu wanasota sana chuo. Na wengi wao ambao niwazuri wanaanza kutengeneza fedha chuo. Kwa hio hawabembelezeki ni pesa mbele. Labda kama una mtu amejenga akuunganishe na architect.Habari wanajukwaa,
Hivi ni mimi pekee au? Unamtafuta architecture kwa lengo la kukuchorea ramani lakini hawajibu meseji, hawapokei simu na hata mkiongea hawezi kukwambia mipango inayoeleweka. Sasa kama mtu ni diaspora kweli ufunge safari hadi bongo kisa ramani? Kwani haya mambo hayawezi kumalizika kwenye simu? Kazi ni kupost picha tu za majengo lakini watafute sasa 🙌🏾 Sijui ni kwamba wana kazi nyingi kwamba wamezidiwa au inakuwaje kweli inakatisha tamaa. Wafute tu hizo namba za mawasiliano walizoweka kwenye page zao 🤧
Kazi yangu ni kutafuta pesa tu, na kwa mtu anayejua biashara huwezi kumkataa mteja eti kisa kakosea jina. Najua architecture ni field na architect ndo mhusika.Kama unawaita Architecture, basi ni sahihi kuringiwa. Hakuna mtu anaitwa hivyo
Kwani ukinishukuru kwa kukutoa gizani kwenye hilo utapungukiwa niniKazi yangu ni kutafuta pesa tu, na kwa mtu anayejua biashara huwezi kumkataa mteja eti kisa kakosea jina. Najua architecture ni field na architect ndo mhusika.
Online media ni sehemu ya kutafuta tu clients, sasa kama wana experience kwanini wanatupostia kazi zao na kuweka mawasiliano kuwa tuwatafute. Na sio wote wanauwezo wa kufika ofisini tupo digital age.Ukiona hivyo ana experience ya wateja wa online kufanya malipo ni wazinguaji sana kwenye kazi kama hizi. Mimi huwa sifanyi kazi online ila akitokea mteja wa online huwa namuelekeza tu atumie AI ni bure na rahisi kukuletea unachokitaka ujue kuiongoza tu.
Vipi hiyo utalaum nayo!!
Nina mwanangu mmojA yeye pia ni mtaalam kweny kuchora Ramani kam utahafiki nakuunganish nae afanye kaziHabari wanajukwaa,
Hivi ni mimi pekee au? Unamtafuta architect kwa lengo la kukuchorea ramani lakini hawajibu meseji, hawapokei simu na hata mkiongea hawezi kukwambia mipango inayoeleweka. Sasa kama mtu ni diaspora kweli ufunge safari hadi bongo kisa ramani? Kwani haya mambo hayawezi kumalizika kwenye simu? Kazi ni kupost picha tu za majengo lakini watafute sasa 🙌🏾 Sijui ni kwamba wana kazi nyingi kwamba wamezidiwa au inakuwaje kweli inakatisha tamaa. Wafute tu hizo namba za mawasiliano walizoweka kwenye page zao 🤧