Nzuri, iendelezwe kwa mwigulu, ADEN, SITTA, DEWJ NA KWA WAPUUZI WENGINE
Siku nyingine nitafanya hivyo mkuu....
I agree with you Kamanda, hii vita ni ya wazalendo wote wa Tanzania. we need fight(diplomatically) until revolution come vifa CHADEMA and M4cPamoja na wewe maana hii vita siyo ya mbowe, Zitto, Lema peke yao bali ya watanzania wote wanaochukizwa na hali ya nchi hii.
View attachment 59814Millya akihutubia Kata ya MereraniView attachment 59815
miongoni mwa vitu vilivyorejeshwa na waliokuwa wanaCCMSource: Habari Tanzania Grace Macha