M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

M4C yaingia Iringa Mjini Jan 03, 2013

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
576
Reaction score
245
Kesho kutakua na mkutano wa hadhara viwanja vya mwembetogwa iringa mjini.makamanda watakao kuwepo ni Lissu, Msigwa, Sugu na wengine wa hapa mkoani.

Ripoti kamili ni hio kesho.

Peopleeeeee's power for ever!

Source:gari la matangazo CHADEMA.
 
Twaomba mikutano isitumike kuwashambualia polisi, isije ikatokea kama ya Marehemu Mwangosi
 
Safi makamanda, hiyo ya nyanda za juu kusini inahitaji mwamko mpya nahisi inaelekea kulala! Mzee wa upako na makamada wa huko waamshe watu.
 
Vipi huyo RPC Kamuhanda si bado yupo hapo Iringa? Wakati ule wa mauaji ya Mwangosi alifunguka n'a kusema kuwa hawezi kuruhusu mkutano wowote wa chadema kwa kuwa wakubwa zake wanaweza kumfukuza kazi, vipi safari hii katoa kibali cha mkutano?
 
Kila la heri makamanda!! Mungu aepushe vitu vya ncha kali kuwapata. Amina.
 
CHADEMA hakuna kulala 2015 is around the corner!
 
Twaomba mikutano isitumike kuwashambualia polisi, isije ikatokea kama ya Marehemu Mwangosi
Mkuu unamaanisha waandishi wa habari ndiyo waliomuua Mwangosi?kweli umeamua kujivua ufahamu!
 
Ni mwendo mdundo,juzi nilikua mafinga yaani kule scarf na bosholi za chadema ni kama sare ya mji!
 
Go go go CDM! Ila jamani wapeni taarifa policcm waondoe vitu vizito angani pia na vitu vyenye ncha kali waeke mbali ili mkutano uishi salama. Hatutaki kusikia umbea na uhuni wa police
 
Makamanda tuko nyuma yenu jibuni hoja za wananchi kama kawaida yenu darasa lieleweke wala msijibishane na yule mtoa matusi maana keshachanganyikiwa yule hana sera za kuwaeleza wananchi
 
Back
Top Bottom