M4C Yaanza kwa Mdororo mkubwa 2013

M4C Yaanza kwa Mdororo mkubwa 2013

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.

Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.

Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
 
huyu ni MIONGONI MWA WALE MASALIA
KWA HIYO APUUZWE TUH,,

UKIMPA UBWABWA NA KANGA YEYE HUWA TAYARI KUTOA MA SA YENYE BURI,,

MJINGA NI MJINGA TUH,APUUZWE
kwa maelezo yako tu utakuwa unaexpirience ya kutosha ya kutoa hayo mananii yako kwa wanaokutuma hongera sana A big
 
huyu ni chizi ametumwa na akina nape na wenzake
 
Radii huna hoja, una tabia ya kujadili watu nimeona post zako nyingi zipo kishankupe sana.. Moja ya azimio langu kwa huu mwaka ni kuwapuuza watu wa aina yako.
 
Huyu hajui lakufanya nguo yenyewe aliyofaa inaviraka
ameangaika kujichosha kubuni jinzi ya kukashifu cdm mwambieni aje arusha kesho viwanja vya ngarenaro aone nyomi ya wapenda mabadiliko,jinga hilo,
 
Masalia, kajipange upya......
Kio cha kumfia zzk kinawapa wakati mgumu sana..... Huo ndo ubaya wa kuwekeana maagano ya kishetani....
 
Mkuu Radii,

Ukisoma kwa makini posts zilizopita, utakuta kuga kigenge fulani ambacho chenyewe kilikuwa na dhamira kubwa tatu
1. Kumchafua Dkt Slaa na baadhi ya viongozi wenzake waandamizi

2. Kumsifia Zitto kuwa ni kipenzi cha watanzania na ndiye kiongozi anayefaa kugombea Urais mwaka 2015 (bila hata kujali Katiba ya Wakati huo itasemaje)

3. Kuonyesha kuwa Zitto hapendwi na viongozi wa CHADEMA kwa kuwa wao ni WAKABILA, WAKANDA na WADINI

Bahati mbaya; genge hilo ambalo lilijipatia umaarufu hapa kwa triple IDs - verified na fake - lilishindwa na kusambaratika vibaya. Matokeo yake ni kila kukicha tunasikia matamko mazito kutoka kwa baadhi ya wanachama wa CHADEMA; hususan kujivua uanachama.

Wewe pia unaelekea huko huko. Usiku mkubwa kama huu kuja na post 'ya kijinga' kama hii, ni kujidhalilisha mwenyewe.

Maana hata upeo wako haukuonyeshi kuwa mwaka 2012 hakukuwa na 'Uchaguzi Mkuu'.

Lakini ukisoma between the lines, unaweza usishangae. Kwa nini? Ni kawaida ya watu wa 'genge' lenye mrengo kama wa kwako: kuandika Kiswahili kibovu; uandishi usio na mpangilio, uandishi usio na mantiki na hoja, uandishi wa kumtetea mtu (na mwenyewe alishakataza kufuata watu).
 
Kuna watu wana njama ya kutumia jina la zitto kugombanisha Chadema, hawa si washabiki wake ni maadui zake ambao wamegundua kwa kutumia style ya kumtetea zitto kuna wehu wengine wasioruhusu hekima itawale watakuja kulipuka na kuanzisha misuguano humu, iacheni chadema teteeni vyama vyenu kama mna hoja!
 
Yuko kazini huyu mwendawazimu nenda kapokee hela ya weekend!!!! Kumbe watu wa ccm mnafanya kazi hadi usiku au ndo overtime makubwa! Hela za walipakodi zinatumika vibaya sana kwenye nchi hii! Tanzania ni zaidi ya uijuavyo
 
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.

Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.

Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Wewe uliyeleta post hii utakuwa katika kundi là masalia ambao mnaelekezwz cha kupost. n'a Nape, akidhani atapunguza kasi ya M4C, lakkini katika hali halisi moto uliowashwa n'a CDM kila uchao ndiyo unazidi kukolea. n'a ndicho kinachofanya nyinyi magamba muweweseke hadi mnakuja n'a post za kipuuzi kama hii uliyoilleta!!!
 
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.

Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.

Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015

propaganda zngne bwana ni ushenz mtupu,hebu mspoteze muda kuiandama m4c ya cdm jikten zaid kwny kutmiza ahad zenu zlzo kwenye ilan ya magamba,au ilan ndo hii ya propaganda zidi ya cdm.
 
Zile harakati uchwara za M4C zinazoendeshwa na chadema zimeingia hatua nyingine muhimu ya kudorora na kususiwa na wananchi hasa katika hatua ya kutoa sadaka cjui mchango wa kueneza hayo yameanza kujitokeza katika mkoa wa Iringa na yanaonekana yatasambaa nchi nzima na kuishia kama zile harakati za CUF.

Baadhi ya wahusika walipoulizwa kwanini mdororo ni mkubwa walijibu kuwa baadhi ya viongozi wa M4C wanakabiliwa na shutuma za ufisadi wa fedha za opresheni hiyo; wengine wanasema hamasa ya wananchi inashuka kutokana na kutomuona majukwaani kiongozi wao kipenzi Zitto Kabwe kwani jana kundi kubwa la vijana walijitokeza na kuimba tunamtaka zitto,zitto.

Kwa hali ilivyosasa kauli mbiu ya mbowe kuwa mwaka 2013 ni mwaka wa nguvu za umma inaanza kupotea;Ilihali CCM ikiendelea kujiimarisha kwa wananchi pamoja na kutekeleza Ilani yake Barabara; na kuifanya kushinda kwa wepesi kabisa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015

fafanua
 
Kizazi cha Nyerere na Wazee wetu kilikuwa na uzalendo kilijali utu, sisi tutasfiwa kwalipi anayetetea chama tawala wakushangaa haiji akilini kabisa kwa kutetea uozo uliopo katika ngazi zote za serikali inayoongozwa na chama hiki. Tumieni busara hata ya makalio kujua kuwa tunahitaji watu wenye mawazo chanya kama ya chadema. Bahati Wanaume tuna vichwa viwili lkn ukimkuta mwanaume mwenzako akaacha kutumia kichwa kikubwa akaanza kutumia kile chachini uzalendo anakosa anakuwa fisadi kuona yajayo anakosa kuuza rasilimali na kumridhisha kichwa mbadala ndilo linakuwa wazo kuu kwake endeleeeea usione utapona watoto wako hawatapata kitu kama hubadiriki hakuna uzuri kwa kitu kilichooza
 
Back
Top Bottom