M4C-OPD ndani ya Dodoma - Jan 27, 2014

M4C-OPD ndani ya Dodoma - Jan 27, 2014

ni vizur mtoa mada aeleze ni muda gani na nani watoa mada,
 
pole lakini uvumilivu unafaa hicho chombo cha juu hata wewe unajua siku hizi unakaulalamishi Fulani ka ajabu ajabu hivi
 
Wanachofanya Viongozi wa CHADEMA kina tofauti gani na FIESTA ya Clouds?
 
Unalalamika sana Salary Slip huo ni usafiri kaka, ingekuwa vizuri ungetupa tathmini ya idadi ya watu mkutanoni.
 
Habari wakuu,

Niko hapa Dodoma katika uwanja wa Barafu ambapo mkutano wa Operesheni Pamoja Daima umeshaanza.Hivi sasa ni viongozi wa ngazi wa ngazi za kata,wilaya na mkoa ndio wanaongea na kutupa matumaini kuwa viomgozi wa kitaifa watatua muda si mrefu.

Hata hivyo,mpaka muda huu saa 11:20 viongozi wanaosubiriwa kufika kwa "chopa" hawajafika na muda ndio unakwisha.Hakika hili ni kosa kwani wananchi wanasubiri kwa hamu viongozi hao wafike.

Hata hivyo,tunambiwa mafuta ya "chopa" yalicheleweshwa kwa dakika 15.Tunavuta subira.Uzuri hali ya hewa ni nzuri na watu wametulia wakisubiri viongozi wafike.

Makamanda wanaosubiriwa ni mh.Lissu na kamanda Heche.

Update:Muda huu ikiwa ni saa 11: 28 "chopa" ndio inazunguka angani ikitaka kutua.Watu wanashangila.

Jamani watu ni wengi sans na inatia moyo kwakweli.
Kumbe watu wafuata Chopa nilidhani wamekuja kusikiliza sera.
 
Nimefuatilia tokea mwanzo OPD ilipozinduliwa na kugundua kila mtanzania anayependa siasa na asiependa siasa, awe Chadema/ccm/cuf/ama chama chochote cha siasa anataka kujua nini kinaendelea katika viwanja vyote OPD inapofanyika.

Zaidi watanzania haswa kwa waloopo mbali na tukio hawaridhiki kwa kupata habari maelezo bila kuweka picha.

Kunogesha habari mkuu please tupia picture.
 
ccm hawajawahi kupata upinzani mkali kama wa cdm,wanawapa jambajamba kichizi,pesa za magamba walizompa zitto was a bad business,amezitafuna,zimemponza na ccm hawajafanikiwa kitu zaidi ya kuongeza hasira za chadema
mbaya zaidi wamekuja na OPD,wapo angani,majini na nchi kavu,ni kamaopration desert storm kule kuwait na iraq in the 90's.Yangu macho.
 
Kumbe watu wafuata Chopa nilidhani wamekuja kusikiliza sera.
Ritz,
Kumbe kwenye SIASA nako kuna mambo yanayofanana sana na FIESTA za akina Kusaga! Billicanas na Sugu wameiathiri sana CHADEMA.
 
Kaaa ivyo ivyo na eti inatia moyo. Huwajui wabongo vizuri, fanya tafiti kwanini watanzania huwa wanajaa hata barabarani wanaangalia barabara inavyotengenezwa. Sasa kuona tu chadema mikutano Yao watu wanajaa kama unavyosema, si kwamba wanaipenda sana,au ndo mkajipima na wingi wa watu ndo mnakubalika. Ni watu wanakwenda kushangaa helicopter tu hapo, taarifa mnazo fikisha mnabaki nazo wenyewe. Ukibisha baada ya mkutano teueni watu wawili au watatu kisha muwaulize kimeongelewa nini? Hapo ndo utajua ni mtanzania ni nani!
 
'''Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2), hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.'''
 
Back
Top Bottom