Mdee anasema nchi imeiva..iko tayari kwa mabadiliko....anamkaribisha Kamanda mkuu Mbowe, anasema yeye ndiye atafanyamabdiliko
watu wanamshangilia...
..Sasa Kamanda Mkuu Mbowe kasimama jukwqaani. ..Anasalimia...
....Mh Kiwanga anatonya kuwa utafiti umeonyesha sehemu kadhaa za Wilaya za Kilombero na Mahenge zina gesi na mafuta...wulaya ni tajiri, anatoa wito wananchi wawe makini, wasikubali Serikali ifanye kama ya Mtwara....
Mtu ambaye hajafunguliwa hata kesi moja anautaka uenyekiti kupitia Facebook...huku kakunja nne LOL!!!"Siwezi kuachia Uongozi katikati ya Mapambano"
"Nina kesi 13,nimekoswa kuuawa mara 2 leo anatokea mtu anahongwa hela na Magamba anataka uenyekiti"
Weka picha tuone mkutano gani asubuhi.wakati tupo shambani