M4C-OPD: Dr. Slaa atikisa Makambako

M4C-OPD: Dr. Slaa atikisa Makambako

APARATIE

Member
Joined
Dec 23, 2013
Posts
93
Reaction score
23
pamoja na mvua kubwa iliyokua ikinyesha wananchi wa makambako walijitokeza kwa wingi sana, kumsikiliza katibu mkuu wa chadema dr slaa,ambaye amesisitiza wananchi kuwa makini na watu wanaotaka kuliteka bunge maalumu la katiba na kwamba katiba inayotengenezwa sio mali ya chama chochote cha siasa na ameshangazwa sana na ccm wanaosema, eti serikali tatu sio makubaliano ya ccm. vile vile amesisitiza umhimu wa kuboresha daftari la kudum la wapiga kura,naambatanisha na picha,
 

Attachments

  • tmp_20140126_160749-1455745595.jpg
    tmp_20140126_160749-1455745595.jpg
    351.1 KB · Views: 3,413
  • tmp_20140126_1602561790100107.jpg
    tmp_20140126_1602561790100107.jpg
    331.1 KB · Views: 3,199
  • tmp_20140126_1606551605207741.jpg
    tmp_20140126_1606551605207741.jpg
    320.9 KB · Views: 718
  • tmp_20140126_1553411783270384.jpg
    tmp_20140126_1553411783270384.jpg
    311 KB · Views: 3,155
  • tmp_20140126_161221140685982.jpg
    tmp_20140126_161221140685982.jpg
    308.6 KB · Views: 3,143
Neema yaanza kuonekana hata akina mama wameanza kujitokeza kwenye mikutano ya cdm.. kazeni mwendo makamanda saa ya ukombozi ni sasa.
 
Safi sana makamanda wote, ukombozi umekaribia, mungu awape nguvu viongozi wote wa cdm wazidi kusambaratisha ccm wametunyonya vya kutosha, na hizi chopa tunazikabidhi mikononi wa mungu, slaa songa mbele toa elimu wtz tujikomboe
 
pamoja na mvua watu wamejaa! MM hakuondoka na wanachama?
 
Miji mingi haina viwanja vya ndege, na wengi hawana uwezo wa kumiliki chopa, ukileta chopa maeneo hayo unategemea nini?
Chopa ni mtaji mkubwa sana kwa cdm.
Zidumu oparation za cdm
 
Safi sana wana wana Makambako, mmewakilisha vema licha ya mvua kunyesha, tuamke watu wangu, haya makina Jah people.
 
NI WAJIBU KUUNGA MKONO JUHUDI HIZI, tunawashukuru sana chadema kwa kuelimisha jamii,kazi yenu tumeikubari
 

Attachments

  • tmp_20140126_145921841078336.jpg
    tmp_20140126_145921841078336.jpg
    109.5 KB · Views: 226
  • tmp_20140126_161241-17404851.jpg
    tmp_20140126_161241-17404851.jpg
    234.9 KB · Views: 212
  • tmp_20140126_153327-1191875200.jpg
    tmp_20140126_153327-1191875200.jpg
    312.8 KB · Views: 209
Miji mingi haina viwanja vya ndege, na wengi hawana uwezo wa kumiliki chopa, ukileta chopa maeneo hayo unategemea nini?
Chopa ni mtaji mkubwa sana kwa cdm.
Zidumu oparation za cdm

unatumia makamasi wewe kufikiri si bure
 
Kuna yule mburula aliyesema wanawake hawahudhurii mikutano ya OPD, aangalie picha hizi.

Magamba nanii inagonga chupi.
 
Back
Top Bottom