Inaua mchwa na wadudu unga
Mchwa ndio ccm yenyewe.
Salaaam wana ukumbi,
Tangu mheshimiwa Lowasa ahamie Chadema,tumeshuhudia viongozi wengi wakihamia ukawa.Hali hii ni dhairi itawaathiri sana ccm,kwani hizo ni kura pia wanawafuasi wao lakini zaidi wanajua fika mbinu mbalimbali zinazotumiwa na ccm kupata ushindi.
Kuibuka kwa Nape na kusema hao ni oil chafu bila shaka anaweweseka kwa kuwa anajua fika kuwa oil chafu ni kiboko ya mchwa walioko ccm
hama kweli kwenye waswahili hakukosi majibu, mchwa wote nilazima wasafishwe Ikulu, ndio watajua kuwa makapi ya muwa yanatengeneza singbod za kujengea nyumba.Watu wanabuni jamani dah,wataisoma