Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,423
pole sana kwa uelewa wako mdogo ,symbolic language,ni lugha ya picha.Tunashukuru kwa taarifa.
Kwa faida ya wengine:
Tuache kutumia neno :"chadema wamwaga sumu".
Wanachokifanya chadema si kumwaga sumu bali kutoa elimu ya uraia/kuwaeleza ukweli watanzania juu ya dhulma inayofanywa na chichiemu. Hiyo si sumu, bali ni mwangaza wa matumaini.
Sumu kazi yake ni kuua. Elimu itolewayo na chadema haiui bali inarudisha matumaini yaliyopotea.
Kwa hiyo kama ni sumu chichiemu ndio inayomwaga sumu kwa wananchi wake kwa minajili ya kuwaua na chadema inachofanya ni kuiondoa sumu hiyo ili kuwarudishia wananchi uhai wao ambayo ni haki yao stahiki.
Hata ungesema bila kebehi ungeeleweka tu.pole sana kwa uelewa wako mdogo ,symbolic language,ni lugha ya picha.
Jana katika viwanja
vya madeko ndanda, lema alimwaga sumu ya m4c,magamba si chini ya 25
walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya
misheni ya ndanda na kuchukua kadi ya chadema,pia alimchana mbunge wa
masasi akidai wabunge ni wa chadema,mbunge 1 wa chadema ni sawa na
wabunge magamba 50,alizungumzia pia utajiri tulionao ila nchi yetu ni
masikini,hii ni sababu ya chama magamba,kifupi mambo yalikuwa
shwari,kesho nitapaisha picha baadhi za kamanda lema wakati akiwa ndanda
viwanja vya madeko muda mfupi kabla ya kurudi masasi mjini kuwaga sumu
nyingine wilayani,kusini hakika watu wanaamka baada ya
kuhamasika.pipoooooooooooo!
nikusoma mwana jamvi tuko pam oja.Hata ungesema bila kebehi ungeeleweka tu.
poa tuko pamoja,nitafanya usihofu.Asante kwa tarifa jitahidi kesho utuwekee na picha.walisema CDM ni kaskazini tu sasa wamejionea wenyewe ndani ya Operesheni okoa kusini.Hakuna operesheni iliyo anzisha na CDM ambayo haikuza matunda.Tusubirie 2015 watayaona matunda yake.M4C
safi nimeipenda'' hapano tugagona mpaka shimanyishe'' hapa hatulali mpaka kieleweke,ok nashukuru kama alikuwepo,tuendelee kusapoti m4c,freedom is comming soon.Penepo kumui kabisa safi ashlungo mpaka mother aliatend hapo na muziki wa Cdm ameukubali
poa tuko pamoja,nitafanya usihofu.
ni kweli chama magamba hawana lao kabisa,kimewabana kinyago vibaya mno,waanze kufungasha kutoka magogoni.Ninapozisomahabari za M4C ikipasua anga huko Mtwara Lindi na viunga vyake naona taswira ya CCM wakiwa mahakamani wakiupinga ushindi wa CDM wa ngazi ya Urais,pembeni namuona mh Tindu Lisu akiwasmbaratisha kwa hoja nzito zenye mashiko,wenye CCM kwaheri kwaheri tunawatakia maisha ya taabu huko muendako
nashukuru kamanda wangu,kesho nitatupia picha za Ndanda masasi tukiwa na kamanda Lema.Kazi nzuri, asante Ukana Shilungo