tutakuwa pamoja kamanda, naweza Kushiriki?
Kuweni makini sana na mitego midogo midogo itayowaharibia programe zenu.
unaweza Kushiriki kamanda Kama una nia njema sema sisi hatulipani posh Kama magamba
karibu
Ni muda muafaka sasa kwa M4C ku-operate katika new version/face kwa kuwatumia viongozi husika wa CHADEMA wa hayo maeneo badala ya viongozi wa kitaifa tu. Tuwatumie viongozi wa CHADEMA wa mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji, et al. Hii itakuwa na mafanikio zaidi. Ni ushauri wangu tu.
Ni kweli kabisa mkuu kuwajengea uwezo wenyeji wa eneo husika ndio suluhisho hamna njia ya mkato lasivyo 2takukua 2natwanga maji kwenye kinuMawazo mazuri mkuu. Viongozi wa kitaifa wasaidiane na viongozi wa maeneo husika katika operation za chama kwa sababu chama ni mali ya wanachama. Ukitegemea viongozi wa kitaifa itaonekena CHADEMA ni chama cha viongozi hao. Pia viongozi wa maeneo husika kazi yao kubwa ni kueneza sera za chama kwa malengo ya kupata wanachama wapya na kumaintain waliopo ili kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutumikia wananchi
hakuna kulala mpaka kieleweke..
m4c with no apology
baada kumalizika kwa kikao cha bunge kinachoendea hivi sasa M4C inatinga ndani ya Babati mjini na Babati vijini kwa muda wa wiki mbili, kuchakaza magamba kabisa, operesheni hii itaongozwa na Godbless Lema, Joshua nassari, Noel olevaroya, James Olemillya Allya Bananga, na mh mbunge wa Babati mjini Babati mh sana Pauline Gekul.