Maganda habari yao imekwisha, hebu kwanza waturushie wilayani kwetu moja tu kwa ajili ya katibu wetu wa CHADEMA! aweze kutembelea matawi na kuimarisha chama!
Magamba bhana hivi akili zenu zimedumaa kiasi hiki kweli?Wewe unaona hii ni uharibifu wa ruzuku lakini huoni kodi zetu zinavyoliwa...hivi vyombo hapa ndio mtakaa tutafika mpaka uvunguni mwa kitanda kutoa elimu ya ukombozi,hakika mmeshikwa na kama mlifikiri Chadema inatishia nyau ni pale mtakapojikuta jela mafisadi woteeee!!!!
Hii ndiyo bidii ya ukombozi. CCM haina tena mbinu imehonga hadi ikawa kiwete. Mtwara imezidi kuwachanganya. M4C inazidi kuota mizizi. Watanzania tunaamka. Hapa ni mpaka kieleweke.
Kazi ipo Mwaka huu. CCM sijui mtatokea wapi....wanasema, A CHILD CAN DIE, BUT AN OLD MAN SHOULD DIE....sijui kati ya CCM na CHADEMA nani ni CHILD na nani ni OLDMAN.