hapo chadema wamenena na pia wamefanya jambo bora kwa kuleta pikipiki ambazo ni special order maana kwenye engine zina nembo ya m4c,kwa wale ambao watataka kuzitumia kinyume na kazi husika shughuli ipo.
Nimeipenda hii. Chadema wamekomaa kwa ubunifu wa hali ya juu.
Nashauri wazilete nyingi ili ziuzwe kwa wananchi kwa bei poa na itakuwa kama njia mojawapo ya mapato kwa chama.
Kesho utasikia Nepi akihamasisha WEZI wa utajiri wa nchi yetu kununua za CCM, mwendo wao ni kuiga wanachofanya CDM. KWA UKWELI CDM NI NOMA, NINAWAKUBALI
Naona unampendasana Zitto,mpaka kuandika jina lake haujui au ndio zile school za kichina? alikuacha chumbani guest Ddm bila kukulipa nini? ngoja tumwambie akutumie pesa kwa M pesa ulipe chumba