M4C MANYARA; Haba na haba........!!




Na hii jamii ikielimika hivi ccm basi tena!

CCM wana dhambi sana hii Tshirt walimpa mwaka 2010 na hawajarudi tena japo kujua tuu kama jamaa anaweza hata kuifua? achilia mbali kuiweka vilaka
 
kha hiyo chagua ccm ilivyochoka,ccm mngekuwa mnapeleka
tsheti kila mwaka.

Jimbo la Babati mjini 2015 ni la CDM. Hii ilidhihirika hata siku ya Mei Mosi
pale mbunge wa CDM viti maalum Pauline alivyofunika kwenye sherehe
uwanjani na kumuacha Mbunge wa Magamba Chambiri mdomo wazi akiwa haamini
anachokiona na kusikia.
 
CCM wana dhambi sana hii Tshirt walimpa mwaka 2010 na hawajarudi tena japo kujua tuu kama jamaa anaweza hata kuifua? achilia mbali kuiweka vilaka

Nilikuwa na msongo wa mawazo lakini kwa leo umenipa kiburudisho cha mchana Mbavu zangu mama weeeeeeeeeeee
 


CCM wana dhambi sana
hii Tshirt walimpa mwaka 2010 na hawajarudi tena japo kujua tuu kama jamaa anaweza hata kuifua? achilia mbali kuiweka vilaka
Asiwe na wasiwasi bado miaka miwili tu chama kianze roundi nyingine ya kugawa.
 
Kazi inaendelea kuwahamasisha wale walio sinzia na CCM kuwageuza mtaji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…