M4c m4c m4c>>>>dodoma lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4c m4c m4c>>>>dodoma lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakamukubwa, Sep 16, 2012.

 1. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  juzi nimeona Gari ya makamanda Dodoma hapa,Sijapata Ratiba ya mikutano Dom hapo ambayo itawasambaratisha Magreen Aple mbaya..
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Nani asambaratishwe na hako kaupuuzi ka M4C? Chezeya CCM wewe.
  Wasiosoma ni chakula ya wasomi.
   
 3. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Trust me, M4C Dodoma itafunika kuliko ambavyo imetokea sehemu nyingine, usidhani ni wajinga tumei spare - Dodoma.Tunamaana yetu na hakika ndiko litatokea anguko rasmi la CCM.Subiri, uwe na subira omba mungu akupe uhai walau wa miezi mi4 tu.
   
 4. m

  michaeljuma1986 Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 25, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Karibuni dom tunawasubili sana tuimalize ccm
   
 5. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na wewe upo Kwenye L30.U
   
 6. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  ccm mtaji wake ni wajinga waciojua lolote lakin m4c ni darasa na wanapona ujinga na wanakimbia ccmabwepande
   
Loading...