Mo Town ndo mji pekee uliokuwa wa kwanza kuwakataa magamba tangu ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi 1992,
Chama cha mabwepande hakijawahi kufurukuta Moshi.
Nawapenda sana watu wa Moshi kwani walielimika mapema sana na kumkataa huyu mkoloni mweusi.
Natumaini kama wamewakataa Magamba basi ni mji ulioendelea kuliko mji wowote hapa Tanzania maana wanaongozwa na Chadema au sio!!!.
Kuongoka ni hiari, lakini kutubu ni lazima.
I wish ningezaliwa mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi, yaani sijui ningefanyaje. Ninaupenda ule mkoa na mji wa Moshi ukipita pale ni pasafi huwezi kuamini wanapita watu pale bila kutupa hata chembe ya karatasi na michupa ya maji kama Dar Es Salaam na kwingineko. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees. Babu Mheshimiwa Ndesamburo mpenda maendeleo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Sijawahi kukutana na mpuuzi wa aina yako maishani mwangu.Kwenu kuna kasoro gani? nyie ndio mnaosema bora mngezaliwa paka au mbwa Ulaya.Peleka changamoto iliyoifanya Moshi ifike pale kwenu si kudandia na kutamani vya wengine.Bureeeee kabisa wewe!
Naipenda M4C kuliko mke wangu !
You are absolutely a brain dead idiot.Sijawahi kukutana na mpuuzi wa aina yako maishani mwangu.Kwenu kuna kasoro gani? nyie ndio mnaosema bora mngezaliwa paka au mbwa Ulaya.Peleka changamoto iliyoifanya Moshi ifike pale kwenu si kudandia na kutamani vya wengine.Bureeeee kabisa wewe!
Mkuu,mbona nasikia harufu ya kiroba au umeshalegeza koo,manake mida hii hapa kuna baadhi hapa JF wanakuwa hawako sawasawa.Nyoosha lugha tafadhali au ndio umeshajifunza kichaga.Unatoa mapovu kwa kuwa nimesifiwa wachaga? Na kwa kuwa ndiyo mnafikiri ni CDM? Ni wachapakazi na ndiyo maana nimesema nitafanya jambo ili achaguliwe CDM mbunge kwangu na nitaorganise tour kwa mbunge wa Moshi na atakuwa CDM millele ili nikajifunze. Naendelea kuwa mpuuzi ongeza la lingine. Sawa.
Mkuu,mbona nasikia harufu ya kiroba au umeshalegeza koo,manake mida hii hapa kuna baadhi hapa JF wanakuwa hawako sawasawa.Nyoosha lugha tafadhali au ndio umeshajifunza kichaga.
Mpaka CcM wajirambe mwaka huu maana wanashikwa kote kote,Magamba sasa anzeni kutafuta hifadhi
Naipenda M4C kuliko mke wangu !
Mpaka CcM wajirambe mwaka huu maana wanashikwa kote kote,Magamba sasa anzeni kutafuta hifadhi