Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole
mambo yanaendelea hapa.
Diwan wa picha ya ndege yupo jukwaani.
wadau tupo uwanja wa maili moja, tunawasubiri makamanda kutoka dar, sasa hivi anaongea kamanda kutoka kawe.
Nawatakia mwanzo mzuri makamanda!
go on Comrades
Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole
jipangeni vizuri mtupakulie mambo toka jikoni
Tupia picha mambo yakishakuwa sawia mkuu!