Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
Hili swali limekaa kishambenga shambenga, kwani huyu muuliza swali hapajui CHADEMA makao makuu? alishakwenda kuhitaji hizi details akanyimwa? au ndio anataka kuamsha Hisia kuwa hela hizi ni kwa ajili ya akina Mbowe and CO? Kweli mtoa mada una mapenzi mema na CHADEMA?
Vipi Mzee, leo naona umekasirika haswa! Sio kawaida yako kutoa haya maneno! Pole pole Mzee mwenzanguUnafikiri umezungumza kitu cha akili; kichwa kama sambusa ya kuokota.
Mkuu Mzee Mwanakijiji swali zuri sana yamkini utakuwa umesikia jambo !.
Haya maswali yanatakiwa pia kujibiwa kwa kadiri harakati za M4C zinavyozidi kupamba moto. Ni muhimu kuyajibu ili kuonesha uwajibikaji, uwazi, na umakini.
a. M4C inachangisha fedha kwa ajili ya nini?
b. Kiasi gani cha fedha kinachokusanywa kinabakia katika maeneo husika (Mwanza in this case; kanda ya ziwa) - it has to be by percentage.
c. Hadi harakati hizi zilipoanza ni kiasi gani kimepatikana na kiasi gani kimeshatumika kufikia lengo la (a)?
d. Nani anasimamia fedha za M4C?
Binafsi najitolea kuchangia kidogo: Tsh. 100,000/= kuendeleza harakati!
Wale wengine wa hapa ambao nao wanataka kupledge please do with me... how much u want to give for M4C. Napendekeza CDM iteue mtu wa kucoordinate michango ya watakaotoa kutoka kwenye mitandao.
Hili swali limekaa kishambenga shambenga, kwani huyu muuliza swali hapajui CHADEMA makao makuu? alishakwenda kuhitaji hizi details akanyimwa? au ndio anataka kuamsha Hisia kuwa hela hizi ni kwa ajili ya akina Mbowe and CO? Kweli mtoa mada una mapenzi mema na CHADEMA?
Unafikiri umezungumza kitu cha akili; kichwa kama sambusa ya kuokota.