Omba connection za Alshabab maana hao hawana shughuli ya kitoto.
Ukifanikiwa ktk mission zako, majeshi yetu itabidi yajitafakari huko walipo.
Wananchi tunawalilia watusaidie kutetea haki zetu lakini wao kimya tupu hata neno hawatoi. Ndio maana sasa watu wanaulizia connection za M23.
Naiona taabu iko jikoni- jeshi letu pendwa teteeni haki za watu- Vilio vikekuwa vingi huku mtaani. Munajua cha kufanya…