Pichani, ni ndege ya kivita, aina ya Sukhoi SU-25, iliyokuwa imetelekezwa na FARDC baada ya M23 kuifukuza Goma. Iliachwa kwa sababu ya hitilafu. Kwa sasa, ndege hiii nasemekana kufanyiwa marekebisho na rubani kutoka jeshi la M23, na sasa ipo tayari kuruka na kufanya mashambulizi.
Pia, inasemekana wengine wa 4, wameshamaliza mafunzo ya kutumia Helikopta za kijeshi, ampapo, mbali na zilizoachwa na FARDC, M23 imeshapata ndege zake.
Vita vya siku za usoni huenda vipambe moto zaidi ya awali sasa.
Wakati huo, serikali ya DRC, imesema haijafurahia kitendo cha Uganda kufungua mipaka yake na eneo linaloendelezwa na jeshi la M23.