Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Feb 4, 2025 #1 Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,269 Feb 4, 2025 #2 Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Feb 4, 2025 Thread starter #3 Mwachiluwi said: Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena Click to expand... Watakula nn au PK ataendelea kuwalisha?
Mwachiluwi said: Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena Click to expand... Watakula nn au PK ataendelea kuwalisha?
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 8,592 Reaction score 12,336 Feb 4, 2025 #4 Msemaji wao Mkuu na Amir Mkuu ni PK!
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,269 Feb 4, 2025 #5 Valencia_UPV said: Watakula nn au PK atawalisha? Click to expand... Si washavuna sana
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,047 Reaction score 134,346 Feb 4, 2025 #6 Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Labda PK atawawakilisha
Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Labda PK atawawakilisha
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Feb 4, 2025 #7 Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Hakika
Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Hakika
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Feb 4, 2025 #8 Mwachiluwi said: Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena Click to expand... Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline.
Mwachiluwi said: Si nimesikia wamesema wameacha mapigano hawataki tena Click to expand... Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline.
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,269 Feb 4, 2025 #9 imhotep said: Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline. Click to expand... Yote inawezekana wanacheza na akil
imhotep said: Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline. Click to expand... Yote inawezekana wanacheza na akil
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 2,300 Reaction score 2,542 Feb 4, 2025 #10 OKW BOBAN SUNZU said: Labda PK atawawakilisha Click to expand... Yeah. Huyo ndo boss wao.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Feb 4, 2025 Thread starter #11 Iyerdoy said: Yeah. Huyo ndo boss wao. Click to expand... Commander
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 11,871 Reaction score 18,154 Feb 4, 2025 #12 Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Kamwe hawawezi kualikwa!
Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Kamwe hawawezi kualikwa!
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 2,300 Reaction score 2,542 Feb 4, 2025 #13 imhotep said: Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline. Click to expand... Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani??
imhotep said: Ni wamejiwekea Ceasefire yao binafsi huenda wanataka kusogeza silaha nzito kwenda frontline. Click to expand... Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani??
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 19,641 Reaction score 14,248 Feb 4, 2025 #14 Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Wanaalikwa kama nani?
Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Wanaalikwa kama nani?
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 2,300 Reaction score 2,542 Feb 4, 2025 #15 Mtoto wa Shule said: Wanaalikwa kama nani? Click to expand... Wakialikwa inamaana wametambulika na kupewa hadhi ya kuwa ni nchi kamili. Haiwezekani. Acha PK atawasemea manake ndo de facto kamanda wao.
Mtoto wa Shule said: Wanaalikwa kama nani? Click to expand... Wakialikwa inamaana wametambulika na kupewa hadhi ya kuwa ni nchi kamili. Haiwezekani. Acha PK atawasemea manake ndo de facto kamanda wao.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Feb 4, 2025 #16 Iyerdoy said: Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani?? Click to expand... Ceasefire sio jambo baya, sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.
Iyerdoy said: Hawa jamaa kamwe sio wa kuwachekea. Hiyo ceasefire inatambulika na nani?? Click to expand... Ceasefire sio jambo baya, sasa kinachotakiwa ni implementation ya makubaliano ya awali halafu swala la FLDR nalo lishughulikiwe ndio mzizi wa fitina.
Ad majorem JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 1,101 Reaction score 1,650 Feb 4, 2025 #17 Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Bosi wao PK atawawakilisha.
Valencia_UPV said: Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi Click to expand... Bosi wao PK atawawakilisha.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Feb 4, 2025 Thread starter #18 PK ana kofia nyingi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,187 Reaction score 185,473 Feb 4, 2025 #19 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 8,596 Reaction score 19,018 Feb 4, 2025 #20 Wale wakija Tz ukumbini lazma zichapwe..