bitebo7
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 858
- 601
Kupenda au kupendwa ni haki ya kila mtu,usimtese mwenzio eti kisa ameonesha mapenzi ya dhati kwako.Penda unapopendwa usije penda usipopendwa.
Naamini ujumbe mmeupata na muufanyie kazi sio unapendwa unaanza kuleta mashauzi,ukipendwa na wewe penda,
Usije kumbuka shuka angali kumesha kucha asubuhi njema jamani.