Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,792
Naanza an quote ya mdada anaitw a Grace
Duh! Jamani the struggle is real!! Sasa hivi muda si mrefu nimenusurika kutapeliwa kupitia Mpesa. It was like this; Nimepokea sms inayosomeka hivi M-PESA 5BB315ZBN6H Imethibitishwa. Umepokea Tsh190,000.00 kutoka 255759725848- AMINA MSANGI mnamo 13/4/18 saa 16:56PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh489,000.00 baada ya sekunde chache namba hiyohiyo ikapiga simu ananiambia ohhh mama samahani nimekutumia pesa kimakosa nilikuwa namtumia mke wangu anaumwa yuko Kigoma mimi niko Singida. Tafathali naomba unirudishie ohh nionee huruma mwenzio Mungu atakubariki. Sasa nikashtuka nikamwambia wapigie simu Vodacom watakusaidia, ngoja na mimi niwapigie simu. Alipokata simu nikaangalia salio langu lilikuwemo kwenye Mpesa yangu nikakuta ni lilelile lililokuwemo nothing has changed. So nikajaribu kumpigia simu tena ikawa haiconnect sijui wanazifanyaje wao ndo wanajua. Kwa hiyo moja kwa moja nikajua ni wezi. SO PLZ NDUGU ZANGU RAFIKI ZANGU KUWENI MAKINI HALI SIYO NZURI WEZI WANATUMIA MBINU MBALIMBALI, ANGALIA WASIJEWADAKA KWENYE HII.
M-PESA na Vodacom kwa jumla wamekuww wanaajiri watu wasiowaaminifu, wameibia watu sana mpaka wamenunua magari,
Namjua kijana mdogo tu wa kigamboni anaitwa Mlandali senior, amefanya Vodacom mwaka mmoja tu kaibuka na maendeleo ya kutisha kaacha na kazi kabisa, nilipochunguza nikagundua kuna makosa mengi ya watu kutokuwa na uelewa na kutapeliwa na watu ambao wanaijua fika mifumo ya Vodacom,
Pili swali langu wanaokufa wakiwa na akiba M-PESA, inaenda wapi??