M-pesa msifanye wizi na kusingizia tatizo la mtandao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M-pesa msifanye wizi na kusingizia tatizo la mtandao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rwey, May 25, 2011.

 1. R

  Rwey Senior Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Last week nilimtumia mtu fedha kupitia m-pesa, salio likapunguzwa kwenye akaunti yangu na fedha kwenda kwa mlengwa. Cha ajabu niliyemtumia akaenda kwa wakala kutoa fedha anaambia hawezi kutoa fedha haitoshi, wakati salio lake linaonesha limeongezeka kwa fedha niliyomtumia. Kuwapigia macustomer care kila mmoja anatoa jibu lake mengine yenye kukera kabisa. Mara tatizo la mtandao, mwingine akaniambia hawez kunisaidia, mwingine akasema nisubiri tatizo linashughulikiwa. Sasa ndo nini, sielewi!
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mh! sidhani km kuna wizi mimi nilituma hivyo hivyo km wewe yule mtu aliiona kwenye salio lkn hakuweza kuitoa coz ilikuwa pending sababu ya mtandao.
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mkuu unatoa hukumu haraka sana, nafikiri kabla ya kufikia kusema Mpesa ni wezi fanya hata kautafiti kadogo kujua ni watu wangapi wamewahi kutapeliwa pesa zao? Kwikwi kwenye mitandao ni jambo la kawaida, labda kama ingekuwa inatokea mara kwa mara sana. Hata ukienda kwenye ATM za mabenki si kuna wakati unazikuta ziko out of service??

  Mimi nimmoja kati ya watumiaji wakubwa na wa mara kwa mara wa Mpesa, I can confirm to you that currently this is one of the most reliable, secured, fastest and user friendly means of transfering money in Tanzania.
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Recently kumekuwa na matatizo mengi kwenye mtandao wa M-Pesa
  Nafikiri Vodacom wanatakiwa walishughulikie hili suala haraka sana kwa sababu linahusiana na mshiko
   
Loading...