master eagle
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 342
- 86
- Thread starter
- #21
Pole sana mdau pia hilo swala limenikumba hii leo asubuhi nimemtumia mdogo wangu akalipie matibabu na mpaka muda huu hela hajaipata na sijui nini cha kufanya maana ni fedha nyingi jamani
Mkuu hata mm nimechanganyikwa sijui cha kufanya maana kila nikipiga huduma kwa wateja inagoma na mimi niko tabora.njia pekee ni kuachaja na hawa jamaa tu