Super Tuesday JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 636 Reaction score 727 Jun 22, 2016 #1 Kuanzia jana nimegundua huduma ya m-pesa inasumbua katika utumaji pesa, naomba vodacom warekebishe
Sumve 2015 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 4,626 Reaction score 4,326 Jun 22, 2016 #2 Super Tuesday said: Kuanzia jana nimegundua huduma ya m-pesa inasumbua katika utumaji pesa, naomba vodacom warekebishe Click to expand... Washenzi sana, sio jana tu sasa yapata wiki inasumbua sana hasa kwenye kulipia bili.
Super Tuesday said: Kuanzia jana nimegundua huduma ya m-pesa inasumbua katika utumaji pesa, naomba vodacom warekebishe Click to expand... Washenzi sana, sio jana tu sasa yapata wiki inasumbua sana hasa kwenye kulipia bili.
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,875 Reaction score 2,201 Jun 22, 2016 #3 WIKI YA PILI SASAJUMAPILI IMERUDI SAA SABA MCHANA NAPO KWA MANATI AU NDO KUZIDIWA NINI
fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,033 Jun 22, 2016 #4 Jana kuna mtu nimemtumia pesa kupitia kwa Wakala lakini mpaka sasa hajaipata, najaribu kuwapigia customer care kupitia 100 nayo haifanyikazi/inakata.
Jana kuna mtu nimemtumia pesa kupitia kwa Wakala lakini mpaka sasa hajaipata, najaribu kuwapigia customer care kupitia 100 nayo haifanyikazi/inakata.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,977 Reaction score 54,107 Jun 22, 2016 #5 Hiyo ya kutofanya kazi jumapili, walitoa taarifa jumamosi kuwa wangefanya matengenezo tokea saa 4 usiku siku hiyo ya jumamosi hadi jimapili saa 7 mchana
Hiyo ya kutofanya kazi jumapili, walitoa taarifa jumamosi kuwa wangefanya matengenezo tokea saa 4 usiku siku hiyo ya jumamosi hadi jimapili saa 7 mchana
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Jun 22, 2016 #6 Sumve 2015 said: Washenzi sana, sio jana tu sasa yapata wiki inasumbua sana hasa kwenye kulipia bili. Click to expand... Pole pole kama huna ml 7
Sumve 2015 said: Washenzi sana, sio jana tu sasa yapata wiki inasumbua sana hasa kwenye kulipia bili. Click to expand... Pole pole kama huna ml 7
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 22, 2016 #7 wanachonikera ukipiga 100 hawapokei simu
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 22, 2016 #8 mbere said: Pole pole kama huna ml 7 Click to expand... M7 za faini hahahahaah sasa wanaweza kufanya hiyo M7 na kifungo pamoja
mbere said: Pole pole kama huna ml 7 Click to expand... M7 za faini hahahahaah sasa wanaweza kufanya hiyo M7 na kifungo pamoja
Sumve 2015 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 4,626 Reaction score 4,326 Jun 22, 2016 #9 mbere said: Pole pole kama huna ml 7 Click to expand... Hahaha...nimekupenda bure, PM plz.