M/kiti wa Baraza la Malaigwanani, Ole Kisongo: Lowassa ameanza kuyumba kwa kuwa alikataa ushauri wao wa kuachana na Siasa ili aheshimike.

Habari yeyote ikishaandikwa na tanzanite huwa inakosa ladha. Sasa wamegusa pasipogusika, mwami zitto kachafukwa tusubirie matokeo
 
Mbona wamemfananisha na sokoine na nyerere kwamba nao walikuwa vichaa?
Hata Rais wa Burkina Fasso, marehemu Thomas Sankara naye alishasifia ukichaa.

IMG_8048.jpg
 
Wewe ni mmbea sana
Kiboko yake Zitto huyo, kapewa 24 hours cash! akubali kuwa yeye ni mnafiki na mmbeya lasvyo ataipata. Sasa sijui ataipataje, shauri yake na kigazeti chake cha Tanzanite.
Sijui nani aliruhusu jina hilo litumike kwenye takataka kama hiyo wakati ni jina adhimu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom