Mwenyekiti wa Mtaa SINZA "E" na watendaji wako{CCM} Mnafanya kazi kwa ubabaishaji.Mnachukua rushwa kwa Boda boda na kuwaruhusu kuziegesha kwenye mageti na nyumba za watu.
Boda boda hawa mmewapa JEURI na KIBURI Wanakataa kuondoka kwenye maeneo ya watu,wana lugha chafu.Boda boda hawa wanatumika kwenye matukio ya wizi na ujambazi hasa ukizingitiwa wizi kwa mawakala wa M-pesa n.k umeshamiri Sinza.