Lyatonga Mrema: Wanachama TLP waliokimbia sababu ya "ukata" sasa warudi chamani

Hivi huyu mzee hataki kabisa kuona kuwa Jua limezama uapnde wake kiasi kwamba atulie tu??
Naamini huyu angepata kuwa rais asingeachia mpaka afe kama MUGABE na MU7.
uzee huu wote bado anataka kuongoza, sijui amuongoze nani sasa??
 
Kama huwezi kulinganisha kauli ya Mrema na kuwa inatoka kwa kiongozi na hizo za CUF na ACT basi you need your head examined
Have you done with Lowassa's supporters.Si Msigwa alisema yoyote anayemuunga Lowassa mkono akapimwe akili??
 
bado sijaelewa ni ajira zipi zilisitishwa na mkuu wa kaya,, manake naona makada tu na maveteran wa ukada wanazidi kupeana ulaji..

ajira kwa vijana ni bomu linalosubiri kulipuka.

Edward Lowasa
 
Usituhadae,
Mh. Mbowe hajawahi kuwa na kadi ya Ccm tangu azaliwe na wapo wengi wa namna hiyo.
Na sio wote walio toka Ccm wako na njaa ya Mrema. Kama alishindwa kuimarisha TLP akiwa mbunge ataimarisha chama kwa sitting allowance za parole???
Kwisha habari yake huyo.
Soma vizuri historia ya Mwenyekiti Mbowe, ukada ndio uliomuwezesha kupata nyumba ya NHC pale Billicanas
 
Muwe mnakukumbuka hakuna kiongozi wa juu wa siasa ndani ya upinzani ambaye hakutokea CCM, Kuanzia enzi za Mtei, mpaka Maalim seif Zanzibar. Kama ni malipo ya utumishi ndani ya CCM basi tusubiri wenge walipwe pia

Ni kwa sababu baba wa CCM marehemu TANU aliamua kutokuwepo kwa vyama vya upinzani vinginevyo hao kina Mtei wasingetokea CCM. Hiyo hoja yako haijasimama
 
Kumbe anafurahia cheo kwaajili ya malipo na siyo kusukuma gurudumu la maendeleo, ndiyo maana tuna fail kabla ya kuanza, nilitegemea anakuja na mikakati ya kumuvuzisha parole mbele kumbe ni hadhithi za vibarazani kwenye upakaji hina
 
Hi ni tusi kubwa kwa hao wanachama wake .inamaana hao walijwenda kufata hela ya mrema na sio siasa?
 
Back
Top Bottom