nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,923
- 1,325
Mrema rangi zake halisi zinaonekana dhahiri, hii huenda inatokana na uzee wa akili, maana ninaimani na ninajua anajua kuwa umri wake wakuishi ni mfupi kuliko umri aliokwisha ishi.....hana cha kupoteza....mwaka jana na mwaka huu ameamua kujivua joho la unafiki kuwa nae ni mpinzani wa kweli, ameonyesha alivyo na mahaba ya dhati na wanaCCM wenzake.
ameifunua siri ya moyoni mwaka, amebeba jukumu ziiito sana , jukumu la kumuosha Kikwete, amekuwa mwanapropaganda halisi.
wanamageuzi wakweli wanaendelea na mapambano dhidi ya Mafisadi na Chama Chao cha Mafisadi kwa gharama oyote, mwanzoni inaoonekana kama ni vita nguuumu, ila mwishoe haki na ukweli utasimama.