Lwandamila Must Be Axed

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is far from any one could have imagined.

You might not find the right person to tell you the truth but this is it. Our team is currently as useless as never. Despite even losing to other side in the past Yanga could still display a very impressive game unlike today. The display is unconvincing and dead.

Dear Lwandamila you must realize that, it is us, the fans who are appealing for your departure just for the good sake of our team. We love Yanga just like nothing else.
 
Hello ,a thread is lacking comments due a language used,There are some members lagged behind.May you please change a language if you are real wants people to comment?
 
Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
 
Ooops before anything.. you must know that... Football is the game.. having three equal chances unlikely probability thats having two chances... WIN, LOSE and DRAW.. thats the key chances... After that our club won VPL in 3 conservative seasons... more over Our players played so many games FA, Champions league, and VPL.. so players must turn into tired as games continue.. So far try to think about our economic status by this time.. no bonus, no salary or delaying in paying it.. Lwandamina for my side is the many who will move our club into another stage... what we want is just finding other sources of fund, as fans we must support them likely having good time and more cups...
 
Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Kweli Mkuu, nia yangu iko kuongea na kocha moja kwa moja walau kwa namna itakavyokuwa rahisi kwake kuelewa. Unajua wengi wetu hatujui tufznyeje ili kocha apate kile tunachokipata kwa timu yetu ndo maana tunaona hapa Jf walau pataweza kutusaidia. Kiukweli ni maumivu tuliyonayo ndo yanatuleta sie huku. Naamini ipo siku ataupata ujumbe huu na atauelewa na ataelewa hisia zetu sie wanayanga
 
Tafsiri basi Mheshimiwa tumekuelewa! Asante.
 
There is more than meets the eye. Leave George alone. He is doing his job. So far not bad at all. If you have personal grudges against George, be advised to save them for another day.
Did you attend the game against Ndanda yesterday? Do you expect Lwandamina to enter the field and play? How many clear chances were missed?
The league is not even halfway. We are struggling to pay wages, yet you want George fired and paid the severance package. Hiring a new coach will also need money. Are you going to contribute a dime?
 
Kwa kuwa wewe ni mwenzangu tuongee kwa lugha ya kwetu. Umeziona mechi za lipuli na njombe mji. Uliona uwezo wa wachezaji pale ilipotakiwa kutafuta point. Umeziona mechi za Yanga, tunaposhinda ni kwa shida na goli moja. Mechi zote ni goli moja moja. Unamaanisha hatuna watu wanaoweza kufunga hadi Msuva arudi?

Umeiona mechi ya jana, Ngoma amecheza zaidi ya dakika 20 akiwa ameumia na kujivuta na kocha anamwacha mpaka dakika ya 90 ndo anafanya sub. Ngoma karudi juzi toka kuumwa, unamwona anachechemea tena na kiwango kiko chini kwanini usifanye cha kuisaidia timu kwa haraka zaidi

Mwangalie kocha na benchi lake, toka dakika ya 1 hadi ya 90 wamekaa chini kana kwamba wanaumwa, msaidizi wake vile vile. Kisaikolojia, kocha kusimama na kusisitiza katika mchezo ina faida kubwa sana na mifano ningekupa mingi tu ila kwa leo nakupa ule wa mwaka jana wakati Ureno wanashinda kombe la Ulaya kwa kuwatoa wafaransa. Ulimwona Ronaldo na kocha na benchi zima walivyosimama kuwahamasisha wenzao hadi wakaweza kuishinda ufaransa iliyokuwa bora kuizidi Ureno kwa mambo mengi.

Tunataka kujua, Lwandamila akiwa Zesco timu yake ilikuwa inaweza kushinda magoli mangapi kwa mchezo mpaka anakuwa bingwa. Na ni kwanini hapa inamwia vigumu? Unaweza ukasema ligi ni ngumu, sawa. Lakini mbona wengine wanafunga zaidi ya magoli 2 na kuendelea kuliko ilivyo kwa Yanga. Hata jana Majimaji kampiga Mwadui tena kwake, Mtibwa na akina Singida U wanaweza kufunga kuliko sisi katika mechi nne. Ni kweli wa kwetu uwezo ni mdogo kuliko wale? Mbali ya kufundisha, kocha ni mtu wa kuzalisha hamasa na kuwajenga wachezaji hata kama kuna magumu vipi. Ukocha ni art.

Kwani kipindi cha nyuma si wachezaji waliwahi kuwa wanacheza bila malipo, lakini mbona walau kiwango kilikuwa kikionekana? Na kuna hata kipindi timu ilikuwa ikifungwa lakini kimchezo timu ilibaki kuonekana inacheza vizuri sana. Mchezo wa jana umekuwa ni mbovu kuliko kwa miaka zaidi ya 7 iliyopita. Na kama hakifanyiki kitu kwa haraka basi ilimradi wa kutetea mpo basi endeleeni kutetea, lakini repurcusion ipo na mtaipata. Mwangwi mtausikia tu kutoka nje

Kwa kumaliza nakuomba uangalie tena mashabiki wa Yanga jana uwanjani. Kama unaweza ukasoma saikolojia zao basi waambie wenzio ipo siku uwanjani timu itaingia na haitakuja kuwa na mashabiki wake. Kwanza wamepoa sana na hata goli lilipofungwa bado hawakuonekana kukubali lakini pia angalia idadi yao kwa haraka. Unaweza ukasema uchumi mbaya lakini ntakuuliza mbona Simba wanajaa uwanjani? Wao ndo hawaguswi na uchumi?

Mficha uchi .....
 
Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is far from any one could have imagined.

You might not find anybody to tell you the truth but this is the fact. Our team is currently as useless as never. Despite even losing to other side in the past Yanga could still display a very impressive game unlike today. The display is unconvincing and dead.

You must realize that, it is we, the fans who are appealing for your departure just for the good sake of our team. We love Yanga just like nothing else.
This man has got no match plans,he is totally insane,this is only what i can say for now.
 
Kwa kuwa wewe ni mwenzangu tuongee kwa lugha ya kwetu. Umeziona mechi za lipuli na njombe mji. Uliona uwezo wa wachezaji pale ilipotakiwa kutafuta point. Umeziona mechi za Yanga, tunaposhinda ni kwa shida na goli moja. Mechi zote ni goli moja moja. Unamaanisha hatuna watu wanaoweza kufunga hadi Msuva arudi?
Tofauti na mechi za Lipuli na Njombe, jana walikosa magoli mangapi ya wazi?
Jamani mpira ni pesa. Wanajitahidi katika mazingira magumu. Bila mshahara mchezaji anaishi vipi? Wewe binafsi unaweza bila mshahara miezi miwili? Aliyejitolea pesa zake kaliona hilo. Sisi zetu kelele tu, hatuchangii chochote
 
Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is far from any one could have imagined.

You might not find the right person to tell you the truth but this is it. Our team is currently as useless as never. Despite even losing to other side in the past Yanga could still display a very impressive game unlike today. The display is unconvincing and dead.

Dear Lwandamila you must realize that, it is us, the fans who are appealing for your departure just for the good sake of our team. We love Yanga just like nothing else.
Kilikuja na meli hiki...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom