Kamjibu VIZURI SANA akili ya VYA BURE SI KWA ZAMA HIZI.......kwenye hili acheni UNAFIKIMbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare kwenye mkutano wa Magufuli na Bukoba aliomba Bukoba wapunguziwe vifaa vya ujenzi kama bati na simenti kwa kuwa serikali haiwezi kumjengea kila mwananchi nyumba
Akitolea mfano Kikwete kuwapa fidia ya ng'ombe wafugaji waliopatwa na fidia ya ng'ombe na Nyerere alivyofanya kwa CDA dodoma kwa kuwapa msaada wa kodi
Magufuli alimjibu kwa kumpa changamoto ya kujenga kiwanda Kyelwa wauze mabati hata kwa 1,000 kwa sababu kuna madini ya bati Kyelwa na sio mabati ya kutoka Dar na China na ni ya wafanyabiashara.
Ufipa wanalia na Lumumba wanaomboleza! wote tunaisoma namba na wanaoumia zaidi ni wale ambao hawakutarajia kuisoma namba!Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Mmepewa vyeo mnaharisha tu sasa hivi.ngoja awatimue akili zitawakaa sawa.Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...Haaaa kama vile napata kipicha fulani jinsi magufuri anavyomjibu Lwakatare kwa karibu kabisaa,
Huyu jamaa sijui ana roho ya chuma..!!???
Hivi hili tetemeko lingetokea huko kwao angemjibu hivyo..!!??
wewe sijui kama ni mzima unafikiri bei zinashushwa tuuu....Roho mbaya haijengi .
Magufuli ni mwiba kwa waliodumaa akili ufipa kila siku ni kulialia tu wapewe msaada, lakini Magufuli ni nuru kwa wanaotaka changamoto mpya na kijikwamua kimaisha.
Labda ni maskini wa kule anakojenga uwanja wa ndege!Akiwa IKULU anasema yeye ndio amezunguka nchi nzima anajua Shida za WANANCHI MASIKINI na ndio waliompigia kura Kwaio SERIKALI YAKE NI YA MASIKINI.
Akiwa kwa hao MASIKINI anawaambia MWAAFA. Hakuna MSAADA kila MTU ABEBE MSALABA WAKE.
Sijui ni Masikini wapi huwa ana wazungumzia.
Katika dunia hii huwa kuna majibu mengine huwaga ya ki.pu.mbavu sana mpaka unashangaa yanatolewa na mtu gani? Kwa mtu wa hadhi ya Rais hapa duniani mtu hatakiwa kuwa na majibu ya kipuuzi puuzi kiasi kile!Roho mbaya haijengi .
Nyie Leo hii akipunguza kodi ya hivyo vifaa mtakuwa wa kwanza kushangilia hapa jukwaani,!Nyie waropokaji huwa mjaaa tuu humu jf uzuri nimeangalia marudio ya hotuba hii pale itv alimjibu vizuri sana tena sana...............alimwambia waziri wa viwanda na Mbunge watafute mwekezaji kule kuna madini ya bati wakimpata wataweza kupanga bei lakini ni vigumu kutegemea mabati kutoka dar yapunguzwe bei unayo taka wewe ni vigumu sana watu wanafanya biashara...