Luxury double decker buses for sightseeing unveiled in Mombasa

NairobiWalker

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
11,726
11,824
WhatsApp-Image-2018-10-01-at-15.10.46-1024x576.jpg


Historia inatuambia jina Mombasa lilitokana na neno Mambo sasa.

Hata, mambo sasa.

Luxury double-decker bus for sightseeing in Mombasa unveiled - Nairobi News
 
Sheria ya manunuzi ya Kenya inaruhusu ununuzi wa vitu vya mtumba, tatizo lina anzia hapo.
 
Hongera kwa kukarbia kupata flights za qatar airways to mombasa... 2018 ..Kia na Znz zilianza 2014
nanyi hongereni kwa kufufua shirika la ndege mwaka 2018..Kenya Airways imekuwa ikifanya kazi tangu 1970s
1538416989089.png
1538416989089.png
 
Hehe lilikufa na kufanya kazi mara nyingi nyingi halikuwa stable i hope now litakua stable
1538417278175.png
1538417278175.png
unapokuja kijugamba kuhusu mambo ya kipumbavu hakikisha ukona plan B...sasa unajigamba shirika la nchi ya ngambo Qatar Airways kuanza safari mwaka 2014 na ya kwenu mnafufua 2018
1538417323537.png
1538417278175.png
hapo awali mmekuwa mkitumia mitungi ya chang'aa ndio mnachanuka leo 2018...finally Kenya Airways inabeba abiria tangu 1970s buwana, sasa 2014 ndo nini... ebu jiangalie ulivo
1538417462671.png
1538417278175.png
1538417323537.png
1538417462671.png
 
View attachment 883788View attachment 883788unapokuja kijugamba kuhusu mambo ya kipumbavu hakikisha ukona plan B...sasa unajigamba shirika la nchi ya ngambo Qatar Airways kuanza safari mwaka 2014 na ya kwenu mnafufua 2018View attachment 883789View attachment 883788 hapo awali mmekuwa mkitumia mitungi ya chang'aa ndio mnachanuka leo 2018...finally Kenya Airways inabeba abiria tangu 1970s buwana, sasa 2014 ndo nini... ebu jiangalie ulivoView attachment 883791View attachment 883788View attachment 883789View attachment 883791
Mm nmeona umetupia mada ya qatar.. Na hapo tumewapiga gap la kutosha... Kama mnaanza flights mwaka huu
 
Mm nmeona umetupia mada ya qatar.. Na hapo tumewapiga gap la kutosha... Kama mnaanza flights mwaka huu
apana mtu huwa anazungumzia airline ya kwao..not foreign airline...hivi qatar airways inakusaidia wewe kama mtanzania kivipi? o_Okisha kumbuka ile ilikuwa habari tu mie nimeleta kwamba wataanza safari mombasa...sikuja kujigamba au kuleta mambo ya kupimana mikojo...wewe ndio ulianza nami nikakuonyesha kuwa you made a big mistake...
bas swali langu...si haya magofu ya kubebea chang'aa ndio mmekuwa mkitumia before-2018? ndio au la:D:D
1538418361462.png

bas nasi tumekuwa na functioning airline since the 1970s...airline ambayo ni yetu..not qatar airways
1538418421763.png
1538418901542.png
 

Attachments

  • 1538418341767.png
    1538418341767.png
    162.5 KB · Views: 29
apana mtu huwa anazungumzia flight ya kwao...hivi qatar airways inakusaidia wewe kama mtanzania kivipi? o_Okisha kumbuka ile ilikuwa habari tu mie nimeleta...sikuja kujigamba au kuleta mambo ya kupimana mikojo...wewe ndio ulianza nami nikakuonyesha kuwa you made a big mistake...View attachment 883813
bas swali langu...si haya magofu ya kubebea chang'aa ndio mmekuwa mkitumia before-2018? ndio au la:D:D
View attachment 883814
bas nasi tumekuwa na functtioning airline since the 1970s...airline yetu kamili..not qatar airways
View attachment 883818
Hayo unayoita mitungi ya changa.. Ni bombardier q400 ni moja ya regional plane efficent sana.. Yenyewe pamoja na atr72..ndo maana hata Ethiopian(mkubwa wenu) wananunua zaid ya 30kama hizo.. Sasa nyie kampuni lenyewe mnahisa tu bado unasifia kama lenu.. Heri sisi 100% owned na gov..na loss inakaribia kufutika ..nyie loss kila mwaka.. Shirika halina faida hewa tu.. Ndege me sub lease.. Hilo shirika lina pumulia pipe.. Ingawa liko hai
 
Back
Top Bottom