Kwa kikosi kazi kilichotajwa jana Wamekosekana Lusinde,Majimarefu na serukamba hivyo sidhani kama team itafanikisha lengo
=OMBI:Lusinde,Maji marefu na serukamba waongezwe kuwasaidia Lameck Mkumbo(nchemba) na Nkamia
Nawasilisha
Spika:Haya nawahoji,wanaoafiki waseme NDIOOoo,wasioafiki waseme SIOOO