mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Kuna wabunge wa upinzani wamekuja na mtindo wa kujirecord wanapowakilisha hoja kisha ku share na umma(Group), alipoulizwa kuhusu hili na mwandishi wa BBC akadai, kuna mihimili mitatu na katiba hailazimishi bunge kurushwa live kama ilivyo hiyo mihimili mingine isivyo rushwa live katika shughuli zake za kila siku, akaelezwa Wabunge ni wawakilishi wa wananch alikaa kimya, yani hakua na cha kusema.
Labda inawezekana utumbuaji majipu live ipo kikatiba
Labda inawezekana utumbuaji majipu live ipo kikatiba