Lupita Nyong'o: Hakupata mrembaji mzuri siku ya Oscar Academy awards

Lupita ni mzur but vazi lake siku ya Oscar awards halikusaport vizuri uzuri wake
umeonaeh nasalena! Huyu lupta kutokana hana kfua kikavu,yan ana maziwa,wangemvesha gaun linalomfunia kifua hcho,yan ametoka kama mwanaume,ukichanganya na mikono yake imekua mikavu sana,majanga aisee...ol n ol she z rockn bana!hongera lupta nyongo
 
Watanzania watu wa,hovyo sana ysani mnawaza mavazi tu kwenu ndo jambo la maana sana
 
Ofcourse hakupendeza, usikute alikuwa mbishi kwenye mavazi akaishia kuchagua ya ovyoooo!! Alionekana kama mpori pori. Yeye anatakiwa ajijue si mnene hivyo nguo zake zisiwe pana utafikiri lumbesa ya kuwekea mahindi. Kwa ufupi nilikereka sana na mavazi yake.
 
Wabongo mna kazi kweli. Yaani mlichoona kwa mwanamke wa kwanza muafrika kupata tuzo za Oscar ni umbo lake na nguo aliyovaa???? Watanzania punguzeni basi hata huu upumbavu wa kijinga mbaki na ule ambao ni mgumu kuuondoa kwenye akili zenu. Mwenzenu ame-inspire the WHOLE universe nyie mnabaki kumzodoa nguo aliyovaa siku ambayo imebadilisha maisha yake completely. She is now the talk of the world kwa watu maarufu na muhimu duniani na nyie mnabakia kuangalia mambo ambayo kwa watu talented kama hao yanakuwa ya mwisho kuzingatia. Angalieni basi hata twitter yake muone ni watu wa aina gani wamempongeza na hakuna aliyethubutu kuongea ujinga kama mnaoongea nyie maana wako busy kufurahia jinsi binti huyu alivyojitahidi kufika alipofika. Grow up Tanzanians, grow up!!!!!!! "No matter where you are from, your dreams are valid" - Lupita Nyong'o. At least fikirieni basi hata ndoto zenu ni zipi mzifanyie kazi.
 
Ofcourse hakupendeza, usikute alikuwa mbishi kwenye mavazi akaishia kuchagua ya ovyoooo!! Alionekana kama mpori pori. Yeye anatakiwa ajijue si mnene hivyo nguo zake zisiwe pana utafikiri lumbesa ya kuwekea mahindi. Kwa ufupi nilikereka sana na mavazi yake.

Lakini tuzo si alibeba?
 
Endelea kukerwa humo humo chumbani. Who cares? Who knows you? Who are you and what are you?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom