Khaaaaaaa noahism na we unayajua haya,uliyajulia twisheni eeehhh?unaona sasa ndo maana mi nakwambia hiyo twisheni yako siipendi kabisa ila we tu hutaki kunielewa.kwani mi nishakufundishaga haya mambo lini kama sio huko twisheni kwenu?Laptop+Simu+Luninga+Vyakula+Madawa+Stress = ???... Ni janga na hatarishi zaidi kwenye ndoa za watu.
Khaaaaaaa noahism na we unayajua haya,uliyajulia twisheni eeehhh?unaona sasa ndo maana mi nakwambia hiyo twisheni yako siipendi kabisa ila we tu hutaki kunielewa.kwani mi nishakufundishaga haya mambo lini kama sio huko twisheni kwenu?
Mhhhhhhh twishen zenu vijana wa siku hizi shughuli tupu si za kwetu zamani hazikuwaga hiyo.loooooo shughuli ipo noahism nataka nikupm ila nashindwa umejiset kutokuwa pmd au?mmmh! Kaka sio wewe, ujanifundisha mimi mwalimu alinifundisha kwenye somo la physchemistry ohoh! ni Biology.
Baadae utafiti utakua hv: WANAUME WANAOSHINDA JF MDA MREFU KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME.. Oops i mean kwenye mitandao ya kijamii... LOL
Daaaaaaaaahhh!wanaume punguzeni kuangalia televisheni,vinginevyo nguvu kushnei na mawife watawakimbieni mzabzab njoo utupie kicoment hapa basi kwani we huwa unaagali tv masaa mangapi?