donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Sisi wa mikoani hatushibi hapo,
Ni kweli ila sisi wa wilayani mchana unakua umepita fresh tuSisi wa mikoani hatushibi hapo,
HahahahNdiyo maana mna makalio makubwa sana
HahahahChakula cha King'achi bar hicho
Karibu sana mkuu wanguhatukalibishani
Chatosha mkuubora ungekula mihogo tu.. sasa hapo utashiba kweli
tumetofautiana aisee,mi hapo kusema kweli sishibi kabisaa ni kama nachokoza njaaChatosha mkuu