Kesho tarehe 15/6/2011 mwezi utapatwa katika nyota Mshale Kubwa zaidi kutakuwa na ugunduzi mkubwa wa habari za uongo ambazo zilikuwa zikijulika kama za kweli, hii inaweza kuleta mtafaruku..
Hii ni kweli kabisa imetokea, leo Nape kagundua UONGO mkubwa CDM wakati wakisoma bajeti yao kivuli, zile porojo za elimu bure na sementi ya buku tano zimedadavuliwa basi wamebaki na aibu kama wamejinyea.