dreamchaser18
Member
- May 21, 2014
- 88
- 36
habari zenu wakuu... msaada jinsi ya ku-update software kwenye Lumia 620 nmetumiwa text ni-update inataka n2mie WiFi ivi hauwezi kutumia data connection? na iyo update ina ukubwa gani?
thanks ivi kuna mabadiliko yoyote yanatokea kwenye cm after update?Kama simu yako imejaa nakushauri uweke memory cards ya kuanzia 1 GB. Huwezi fanya kwa data connection, fanya wifi tu
thanks ivi kuna mabadiliko yoyote yanatokea kwenye cm after update?
thanks ivi kuna mabadiliko yoyote yanatokea kwenye cm after update?
thanks ivi kuna mabadiliko yoyote yanatokea kwenye cm after update?
nimedownload update haijafka mwsho imeniandikia errorni black update utapata vitu kama kutengengeneza folder na kugroup apps, improvement ya software za camera hasa hii app mpya ya nokia camera, kutakuwa pia na app ya beamer itayokuwezesha kumuonesha mtu kioo cha simu yako. mfano unamfundisha mtu kitu fulani kwa nokia beamer ataiona screen yako live hata kama anaishi china, utapata app mpya ya story teller na refocus bila kusahau glance screen kuhusu ku update itakuwa ni around 100mb inaweza pungua kidogo au kuzidi tafta simu nyengine jiekee wifi update
nimedownload update haijafka mwsho imeniandikia error
ndio tafuta net stable